Personal tools

You are here: Home
Hazina ya Maendeleo ya Pwani (HMP)

HMP ni mfuko wa jamii unaolenga kuwezesha uhifadhi ya maliasili na utoaji wa huduma za jamii na ustawi wa maeneo ya pwani. HMP ina malengo maalum yanayotekelezwa kupitia vitengo viwili vifuatavyo: 1) Kitengo cha kwanza  - Ruzuku kwa jamii za pwani kutekeleza usimamizi wa maliasili (NRM); na 2) Kitengo cha pili - Ruzuku kwa jamii za pwani kutekeleza miradi inayotoa huduma kwa jamii (CS). Walengwa wa HMP ni wanajamii wenye nia moja waliojikusanya kwenye vikundi (CIGs) ambayo kwa mantiki hii vinahusu Asasi za Kijamii (CBOs).

Document Actions

State Department of Physical Planning State Department of Fisheries Coast Development Authority Kenya Wildlife Services National Environmet Management Authority Kenya Marine and Fisheries Research Institute Kenya Forestry Research Institute